Diamond - Utanipenda

  • NSHIMIYUMWUNGELI Antoine Marie Zacharie
  • Love

Oh ghafla visenti sina nimerudi tandalee
Nimeshindwa kulipa bima nimeuza madalee
Radio nyimbo wamezima TV ndio hataree
Umeneja umebaki jina hanitaki hata talee
Oooh wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno matamu
Leo maadui zangu ni mitusi tu kwa instagramu
Kimwana si dada angu eti naye hanifahamu
Hata Harmonize nikimpigia ananifokea kama sallam
Na magazeti ya nyumbani kwa kukusa habari si unajuaga
Utasikia tafarani eti Mondi kwa Zari amemwagwa
Na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga
Kama naiona michambo ya mademu wa zamani nilowapitiaga

Diamond - Utanipenda
uburenganzira bwose bw'uru rubuga bwihariwe na Nshimiyumwungeri Antoine Marie Zacharie © 2014 -  Hébergé par Overblog